Thursday, 29 November 2012

HARUSI YA AMANI NA SIFA YAFANA JIJINI MBEYA


MR. AMANI  ERASTO  NA MRS. SIFA  FIRGON JACOB
IBADA  YA NDOA ILIFANYIKA KATIKA KANISA LA LUTHERAN USHARIKA WA RUANDA JIJINI MBEYA
ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAMU HAWEZI KUKITENGANISHA
WAKIWA KATIKA MAPOZI YA KUPIGA PICHA ZA KUMBUKUMBU MARA BAADA YA KUTOKA KANISANI
SHEREHE YA KUWAPONGEZA MAHARUSI ILIFANYIKA KATIA UKUMBI WA MTENDA SUN SET JIJINI MBEYA
MAHARUSI WAKIKATA KEKI
BI HARUSI AKIMLISHA KEKI MUMEWE.   

3 comments:

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. nimependa hilo bango la Silva boutiq naomba na mimi niweze kupata la aina kama hiyo zuri sana ntakupata vpi maana sioni hata namba ya blog yko? Hongera kwa kaz nzuri

    ReplyDelete