Thursday, 22 November 2012

VODACOM FOUNDATION WAENDESHA KAMPENI YA KUPIMA AFYA - MOSHI‏

Dr. Yakubu Sanga (kushoto) akimhudumia msanii maarufu wa televisheni Bi. Kiroboto alipofika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.

Dr. Nazeem Shabir (kushoto) akimpima Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule  katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba.

No comments:

Post a Comment