Friday, 16 November 2012

CHAMA CHA CCM WILAYA YA NYAMAGANA CHATOA TAMKO KUHUSU VURUGU ZA MACHINGA JIJINI MWANZA.

                      Katibu wa Itikadi na Uenezi Mustapha Banigwa a.k.a Nyayo.

Chama cha CCM Wilaya ya Nyamagana leo kimeota tamko kuhusu vurugu za machinga ambazo zilitokea jijini Mwanza na kusababisha kifo cha Mtu Mmoja. Akizungumza na waandishi wa habari katibu wa Itikadi na Uenezi Bwana Mustapha Banigwa amesema chama kinalaani Maauaji hao ambayo si halali  na Kupinga maauji ya raia kutoka kwa Polisi.

No comments:

Post a Comment