Monday, 12 November 2012

LTV NDANI YA MBEYA KATIKA KUTENGENEZA ALBAMU YA VIDEO YAKE AMBWENE MWESONGWE YA MISULI YA IMANI.


Ambwene Mwasongwe kakiwa katika shooting yake ya alabam ya misuli ya imani katika hotel ya Beaco jijini mbeya
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya  Luck Time Vision Tz Ltd Lucas Mboya akiwa ameshikilia video kamera kwa makini huku akiendelea na kazi yake ya kumrekodi Ambwene Mwasongwe
Hapa n eneo la hotel ya manyanya iliopo forest mpya jijini mbeya
Hapa ni maeneo ya makabuei ya sabasaba jijini mbeya shootingi bado inaendelea

No comments:

Post a Comment