Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkewe Mama Salma Kikwete muda mfupi kabla ya kuondoka kuelekea mjinji Dodoma ambapo ataongoza mkutano Mkuu wa CCM.
Rais Jakaya Kikwete akiongea kitu na Mama Salma Kikwete baada ya Kuwasili Dodoma ili kushiriki katika Uchaguzi wa kuwapata Viongozi wa Juu Kitaifa wa Chama Cha Mapinduzi.
No comments:
Post a Comment