Ni Moja kati ya Wachezaji wanaotegemewa na timu zao. Jumatano hii mzizi wa fitina utakatwa ndani ya CCM Kirumba Mwanza wakati wa mechi ya Fifa baina ya Taifa Stars na Harambee Stars. Kiingilio ni 15,000 VIP na 5,000 kwa Mzunguko. Karibuni wapenda spoti wotwe |
|
No comments:
Post a Comment