Saturday, 17 November 2012

DK.SHEIN APOKELEWA ZANZIBAR KWA KISHINDO

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed

Shein,akiwapungia Mkono wananchi na wanachama wa CCM waliojitokeza

katika mapokezi yake katika mji wa Zanzibar mtaa wa

Michenzani,akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa Nane,ulimuwezesha

kushika nafasi hiyo, kutokana na uchaguzi,uliofanywa wa kuwachagua

Viongozi wa CCM kwa kipindi cha miaka mitano,katika ukumbi wa

Kizota,Mkoani Dodoma.  [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
 
Maandamano ya Pikipiki kama yanavyoonekana pichani
wakiongoza msafara wa  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa

Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed

Shein,akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa Nane,ulimuwezesha kushika

nafasi hiyo katika uchaguzi,wa kuwachagua Viongozi wa CCM kwa kipindi

cha miaka mitano,katika ukumbi wa Kizota,Mkoani Dodoma.

                  [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
 
Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed

Shein,akivalishwa shada la mauwa na mtoto Salama Issa Ali, alipowasili

katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea

Mkoani Dodoma,kulikofanyika Mkutano Mkuu wa chama hicho uliomuwezesha

kushika nafasi hiyo,baada ya kushinda uchaguzi kwa kishindo.
 
Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed

Shein,akisalimiana na Viongozi na wanachama wa CCM, alipowasili katika

uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,nje ya Mji wa

Zanzibar  akitokea Mkoani Dodoma,katika  Mkutano Mkuu wa nane wa Chama

hicho uliomuwezesha kushika nafasi hiyo,baada ya kushinda uchaguzi kwa

kishindo.
 
Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed

Shein,na Mkewe mamam Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi na

wanachama wa CCM, walipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa

Abeid Amani Karume,nje ya Mji wa Zanzibar  wakitokea Mkoani

Dodoma,katika  Mkutano Mkuu wa nane wa Chama hicho uliomuwezesha

DK.Shein,kushika nafasi hiyo,baada ya kushinda uchaguzi Mkuu

ulimalizika hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment