Tuesday, 13 November 2012

HARAMBEE STARS WAFANYA MAZOEZI JIONI HII KATIKA UWANJA WA CCM KIRUMBA MWANZA.

Nahodha wa Harambee Star Dennis Oliech kutoka Klabu ya Auxerre ya Ufaransa akiongea na waandishi wa habari kuhusu mechi kati yao na Taifa Stars Jumatano tarehe 14 November 2012 Katika uwanja wa CCM Kirumba.
                             Mazoezi yakiendeleea uwanja wa CCM Kirumba...

No comments:

Post a Comment