Sekretarieti mpya ya CCM imetangazwa jana mjini Dodoma, na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete baada ya uteuzi wake kuidhinishwa na Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kilichokutana kwa mara ya kwanza mjini Dodoma. tangu uchaguzi mkuu wa CCM ufanyike.
Mwigulu Nchemba-Naibu Katibu Mkuu, Bara
Vuai Ali Vuai-Naibu Katibu Mkuu-Zanzibar
Nape Nnauye-Katibu Mwenezi
Zakia Meghji-Uchumi na Fedha
No comments:
Post a Comment