KLABU YA ROTARY JIJINI DAR YAKABIDHI TUZO KWA PROF. GEOFFREY MMARI
Rais wa Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Mzizima, Ambrose Nshala (kulia) akimkabidhi Tuzo ya Rotary, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam, Prof. Geoffrey Mmari kwa kutambua mchango wake katika Maendeleo ya Jamii nchini Tanzania katika Nyanja ya Elimu. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Rais wa Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Mzizima, Ambrose.
No comments:
Post a Comment