Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Masumbwi Mohamed Chibumbuli akiwa chini huku akihesabiwa baada ya kupata kichapo kutoka kwa bondia wa Zambia Mbachi Kaonga.
Bondia Saidi Hofu wa Tanzania kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na bondia Caristo Bwalia wa Zambia wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Bondia Mbachi Kaonga wa Zambia kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Mohamed Chimbumbui wa Tanzania Kaonga alishinda kwa pointi wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika mwishponi mwa wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment