Friday, 9 November 2012

Msaada kutoka Kampuni ya Best Imports Zanzibar wasaidia matibabu ya Sheikh Fadhil Soraga.

 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Best Import Zanzibar  Issa Kassim Issa kushoto akimkabidhi Katibu wa Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Abadallah Ali Abadallah dola 2000 za kimarekani kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Katibu wa Mufti Zanzibar Skeikh Fadhil Soraga katika Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Vuga mjini Zanzibar..Picha na Yussuf Simai Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment