Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Kitambulisho cha Taifa kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Perera Ame Silima,wakati wa
Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika jana viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika jana viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu wa vitambulisho vya Taifa,Dicson Maimu,alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,katika Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji,akiweka kidole Gumba kufanya uhakiki katika mashine maalum,wakati wa Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika jana katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho,akiweka kidole Gumba kufanya uhakiki katika mashine maalum,wakati wa Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika jana katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi ya Viongozi na Wananchi,na Wafanyakazi wa Mamlaka ya vita mbulisho wakiwa katika hafla ya Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika jana katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania,Jenerali Devis Mwamunyange, akiweka kidole Gumba kufanya uhakiki katika mashine maalum,wakati wa Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika jana katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akimkabidhi kitambulisho Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,wakati wa Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar, hafla ilifanyika jana katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akimkabidhi kitambulisho Jaji Mkuu wa Tanzania,Mohamed Chande Othman, wakati wa Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika jana viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Perera Ame Silima,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akimkabidhi kitambulisho Jaji Mkuu wa Zanzibar,Omar Othman Makungu,wakati wa Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika jana katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akimkabidhi kitambulisho Mama Maria Nyerere,wakati wa Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar, hafla ilifanyika jana katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment