Zainabu Zuberi akituhumiwa kuhusika na ushirikina. |
Moja ya askari akipata maelezo kwa mama aliyepotelewa na mtoto wake katika mazingira ya kutatanisha wiki mbili zilizopita mpaka sasa hajapatikana mtoto huyo |
Wananchi hao kwa pamoja waliazimia kumhamisha Mwanamke huyo Mtaani hapo katika mkutano ulihudhuriwa na wakazi zaidi ya 200 ambao walidai kuchoshwa na hali hiyo. |
Hii ndiyo nyumba anayoishi anaetuhumiwa kwa uchawi ilolo Mbeya |
No comments:
Post a Comment