Monday, 18 February 2013

MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA KATA YA MINGOYO, LINDI


Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara kijiji cha Mingoyo mkoani Lindi  jana Feb 17, 2013 akiwa katika ziara Lindi Mjini kukagua na kuimarisha uhai wa chama.

Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo

No comments:

Post a Comment