Monday, 11 March 2013

TAMASHA LA PASAKA GOSPEL FESTIVAL 2013 MWANZA HILO LAKARIBIA, NA HIZI NI AMSHA AMSHA ZAKE KATIKA UWANJA WA SHULE YA MSINGI BUHONGWA. TAZAMA MWENYEWE.

 Watu kutoka maeneo ya Buhongwa na maeneo ya karibu wakitazama yale mazuri yaliyokuwa yakiendelea katika viwanja vya Shule ya Buhongwa katika amsha amsha za Pasaka Gospel Festival 2013.
                                  Imani Baptist Kwaya Sahwa wakitumbuiza stejini.
                   Watu wakitazama kwa umakini kwenye tamasha la amsha amsha ya Pasaka.
 Meneja wa Cosu Entertainment ambae pia Mratibu wa tamasha la Pasaka Gospel Festival 2013 ambalo kilele chake kitafanyika katika uwanja wa CCM Kirumba tr 31/3/2013 na tr 1/4/2013 katika uwanja wa CCM Katoro Geita kwa kiingilio cha 2000/= kwa kila mtu.
                                         Tazama mwenyewe shughuli ilivyokuwa.
                                  Hapa wanambomoa shetani katika staili ya bomoa bomoa.
                                                 Uwepo wa Mungu ukishuka.
                                                    Kila mmoja anatazama kivyake.
                                                           Kitu red in kala uwanjani.
                                                    Tazama mambo zenyewe.
                                                    Unahisi ni staili ipi hii?
 Watu wakiangalia yale mazuri kutoka kwa watoto wa Mungu katika tamasha la amsha amsha ya Pasaka 2013 ambalo litawakutanisha waimbaji wakubwa kama vile Enock Jonas[ Zunguka] Neema Mwaipopo[ Raha Jipe Mwenyewe] na wengine wengi kutoka Dar, Mbeya, Arusha, Iringa na Tabora.

                                     Baptist Nyang'homango wakiwa steji ni kama hiviiiiii.

Hata watoto wadogo nao walitazama kile kizuri kutoka wa kwaya mbalimbali nzuri katika tamasha la amsha amsha za pasaka.

No comments:

Post a Comment