Friday, 1 March 2013

RATIBA YA MAZISHI YA NDUGU ONESMO NGUSSA


Aliyewahi kuwa mtangazaji wa WAPO Radio FM na baadhi ya vituo vingine vya Radio nchini, marehemu Onesmo Ngussa, hatimaye anatarajia kuzikwa leo kwenye makaburi ya Tegeta, jijini Dar es Salaam, na msiba uko maeneo ya Wazo Hill, njia ya kwenda Madale. Kabla ya kwenda Madale, kuna njia inachepuka inayoitwa Umoja Street, na mbele yake kuna mahema.

Ifuatayo ni ratiba ya tukio zima kama ambavyo imeifikia Gospel Kitaa.

SN
MUDA
TUKIO
MHUSIKA
1
10:00 am – 11:30 am
Wageni Kuwasili
MC
2
11:30 am – 12:30 pm
Chakula
Watu wote
3
12:30 pm – 01:30 pm
Ibada (Sifa, kwaya, neno)
MC/ Mchungaji
4
01:30 pm – 02:00 pm
Salamu toka sehemu mbalimbali
MC/ Mchungaji
5
02:00 pm – 03:00 pm
Kuaga Mwili
Watu wote
6
03:00 pm – 03:30 pm
Kuelekea makaburini na ibada ya Maazishi
Mchungaji
7
03:30 pm – 04:00 pm
Kuweka mashada ya maua na kusoma wasifu
MC
8
04:00 pm – 04:30 pm
Shukrani ya familia
Mhusika

No comments:

Post a Comment