TAKWIMU ZA WIZI WA WATOTO MKOA WA MBEYA
JANUARI – FEBRUARI 2013 WIZI WA WATOTO
MBEYA Matukio 2 - Watoto walioibwa 2, Me 1,Ke 1 - Watuhumiwa Me 1,Ke 1 [Wamepatikana]
MOMBA - Tukio 1 - Watoto walioibwa Ke 1 - Watuhumiwa -Nil Amepatikana
KYELA - Tukio 1 - Watoto walioibwa Ke 1 Amepatikana
JANUARI – DESEMBA 2012 WIZI WA WATOTO
MBEYA Matukio 4 - Watoto walioibwa Me 3, Ke 1 - Wamepatikana wote wazima - Watuhumiwa Me 3, Ke 1
RUNGWE - Kesi 2 - Watoto walioibwa 2, Me 1,Ke 1 - Wamepatikana - Watuhumiwa Me 1,Ke 1
MBARALI - Kesi 1 - Mtoto 1 - Amepatikana
Uchunguzi wa mashauri hayo bado unaendelea ili kubaini chanzo cha matukio hayo, yeyote mwenye taarifa kuhusiana na matukio haya azitoe kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. |
No comments:
Post a Comment