test
Tuesday, 12 March 2013
AIC BWIRU CHOIR WANA WA DIGITALI WAZINDUA KWA KISHINDO ALBAMU YAO YA CHOMOKA NA AMSHA AMSHA ZA PASAKA PANDE ZA BWIRU..
Picha ya pamoja kati ya Mgeni rasmi, wageni waalikwa na waimbaji wa kwaya ya AIC Bwiru.
Wana wa Digitali AIC Bwiru kwaya katika mwonekano.
Mgeni rasmi Flora Lauwo David akiwa na MC wa shughuli Fabian Fanuel wakiendesha kazi ya ushereheshaji.
Mgeni rasmi Flora Lauwo David na Wageni waalikwa ambao ni rafiki zake Flora wengi wao wakiwa ni wafanyakazi na wafanyabiashara wakubwa jijini Mwanza.
Mama Machumu.
Pozi la ukweli sanaa hapa.
Umeona mnato huuu hapa.
Wanakwaya wa Bwiru wakishangalia baada ya Mgeni rasmi Flora Lauwo David akitoa sadaka ya ya shilingi milini moja taslimu kuzindua albamu hiyo.
Kazi moja tu za kwenda mbele katika utumishi wa Mungu.
Aic Ny
a
manoro wakiwajibika katika utumishi wa Mungu.
Pozi la picha mnato.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment