Monday, 11 March 2013

KINAMAMA MWANZA NA WOMEN DIALOGUE FRONT NI NOUMAA ILE MBAYA NDANI YA JB BELMONT HOTEL.

Jana tulisherekea tamasha   linalijulikana kama.WOMAN DIALOGUE FRONT Linaloandaliwa na kampuni ya Mikaella gateway agency ya mwanz chini ya idda adam.
Mc wetu alikuwa bi zipompa pompa,(
Glads ) mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa
Wilaya nyamagana mr Baraka konsaga na alieongea na kina mama ni mama Victor na Jamse mwagamba.
Mbali na hayo kulikuwa na fashion show ya mavazi ya harusi yaliyotoka flora salon anaepatikana 0759665555 na nguo nyingine zilitoka whitney fashion hapa hapa mza anapatikana kwa no
0754511643
Kiukweli tunamsifu sana mrs Adam kutuandalia mambo haya huku mwanza.
Wamama walipeeee saana.
 

No comments:

Post a Comment