Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akitoa Maelezo ya Matumizi ya Bajeti ya Nusu Mwaka wa Fedha 2012/2013 Mbele ya Kamati ya Bunge ya Maliasili na Mazingira Kwenye Ofisi za Bunge Jijini Dar es Salaam.Wajumbe wa kamati wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Tereyza Huvisa kikao hicho kilichofanyika kwenye ofisi za Bunge Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment