Thursday, 6 December 2012

NAIBU WAZIRI CHARLES KITWANGA AFANYA ZIARA YA GHAFLA KATIKA VIWANDA JIJINI KUANGALIA UTEKELEZAJI WA SHERIA ZA KUTUNZA MAZINGIRA


Naibu Waziri Mh. Kitwanga akitoa agizo kwa Uongozi wa BIDCO wakati wa ziara ya kukagua viwanda mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Nchi kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mh.Charles Kitwanga akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhitimisha awamu ya kwanza ya ziara ya kutembelea viwanda vya jijini Dar es Salaam ambapo amesema ziara hiyo.

No comments:

Post a Comment