![]() |
Baadhi ya wataalamu toka mamlaka ya mawasiliano Tanzania wakiwa katika kupima kiwango cha mionizi ya minara ya mawasiliano mkoani Mbeya hapa ni eneo la ofisi za jiji la mbeya |
![]() |
Hii siyo Mic yaani cha kusemea bali ni moja ya vifaa vya kupimia mionzi ya minara ya mawasiliano hapa nchini |
![]() |
No comments:
Post a Comment